Mwigizaji Jack Wolper ambae kwasaa anaonekana kuwa ‘Bonge’ ,hivi karibuni alitangaza kuanza kufanya mazoezi ili aurudie mwili wake wazamani, toka aanze mazoezi amekuwa akitupia picha mtandaoni akiwa mazoezini.
Mashabiki wake wengi walikuwa wakimpa moyo kuwa aendelee kukomaa na mazoezi, wapo ambao waliona kama mwanadada japokuwani kweli anafanya mazoezi lakini lengo lake lingine ni kuonyesha watu tattoo zake alizojichora.