KATIKA kile
kinachoonekana kuwa ugomvi wao bado ni mbichi kabisa, nyota wa filamu
Bongo, Wema Sepetu Jumanne wiki hii akiwa ni mshehereshaji katika
sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mtoto wa mtangazaji maarufu,
Zamaradi Mketema, aligoma kumtaja Kajala Masanja kama mmoja wa watu
waliotakiwa kula keki, Ijumaa lina mkanda kamili.

Nyota wa filamu Bongo, Wema Sepetu.
Kwenye
sherehe hizo zilizofanyika nyumbani kwa mtangazaji huyo jijini Dar,
baada ya mambo mengi kufanyika, ndipo ulipofika wakati wa mastaa kibao
walioalikwa kuitwa majina yao kwa ajili ya kwenda kupewa keki katika
meza kuu.(P.T)

Mshangao
mkubwa ulikuja wakati Wema, akitangaza kwa mbwembwe aliporuka kutaja
jina la Kajala aliyekuwa akionekana dhahiri na kumtaja aliyemfuatia,
jambo ambalo lilizua minong’ono kutoka kwa waalikwa wengine kiasi kwamba
mmoja wao alichomoka na kwenda kumnong’oneza Wema juu ya kitu hicho na
kumtaka akirekebishe.

Nyota wa filamu Bongo, Kajala Masanja.
“Jamani
mtaniudhi sasa hivi, mimi siwezi kumtaja huyo mtu mbona mnanilazimisha
nyie oooh,” Wema alisema kwa hasira kwa mtu huyo aliyelazimika kuondoka
zake ili kuepusha shari.

Mastaa
hao waliokuwa wamekaa meza moja lakini kila mmoja akiwa bize na mambo
yake, waliwaumiza sana mastaa wenzao waliokuwa nao mezani kwani wote
wanawapenda lakini wenyewe ndiyo hawapendani.

Kuona
hivyo, Kajala ambaye pia alichelewa kuingia ukumbini kabla ya wenzake,
aliamua kuondoka zake bila kusema chochote kuhusiana na suala hilo
lililoacha simulizi kubwa.

chanzo; GPL