- Belle 9
Rnb Staa Belle 9 amezungumzia issue ya kutumia mpenzi wako na mahusiano kutengeneza kiki la muziki.
Belle 9 anasema ” Ninashangazwa kuona wasanii wanafanya wapenzi wao kama njia ya kujipatia umaarufu , hiki kitu kimekuwa common sana, wengine wanafanya kama kiki la biashara, mimi najua nafanya muziki ila natokea kwenye mazingira ya kidini, sidhani kama kuna vitu watakuwa wanavifurahia kila wakati, siwezi fanya mambo yangu binafsi kuwa ngao yangu ya muziki ” .
Belle 9 alimalizia kwa kusema “muziki wake unatosha kwa mtu kupata Vitamin music”.