Msanii wa kizazi kipya Young Dee akikabidhi zawadi ya tisheti kwa mmoja wa wateja wa Tigo wa tawi la Makumbusho mapema leo alipofanya ziara ya kutembelea maduka matatu ya Tigo ya Makumbusho ,Tegeta na Manzese na kugawa zawadi na kupiga picha na mashabiki wake kuelekea sikukuu ya wapendanao mwishoni mwa wiki hii . |