Katibu Tawala wa mkoa wa Dodoma, Patrick Moshi akiongea na walimu,wanafunzi na wanahabari kwenye hafla ya kukabidhi madawati toka kampuni ya Tigo, wengine pichani Meya Japhar Mwanyemba, George Lugata, Aidan Komba
|
Meneja wa Tigo kanda ya kaskazini, Aidan Komba akiongea na walimu, wanafunzi na wanahabari wakati wa hafla ya makabidhiano ya madawati viwanja vya shule ya msingi Kikuyu A mkoani Dodoma
|
Walimu na Wanafunzi wakisheherekea |
Mwanafunzi Josephine Mahundi akitoa shukurani
|