Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ally Maswanya akihutubia wakazi wa Geita mara baada ya uzinduzi wa mradi wa mpango wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka mitano katika mikoa ya Geita na Shinyanga ambapo kampuni ya simu za mkononi Tigo wametoa simu aina ya smartphone 1,200 zenye thamani ya Tshs. 133 zitakazo saidia kufanya usajili mikoani humo. Hafla iliyofanyika mkoani Geita jana.
Baadhi y wakina mama na watoto wakiwa kwenye foleni kwaajili ya kujiandikisha.