Msanii wa filamu Rammy Galis amefunguka kupitia kipicndi Planet Bongo ya East Africa Radio kuhusu baadhi ya changamoto ambazo amekutana nazo kabla ya kuwa staa.
“Nimeshafanya kazi Bank hii historia ipo Youtube sidhani kama wengi wanaijua pia nishapata matatizo na majanga kupitia hii carrier. Nimekaa jela Keko miezi 10 kabla sijaanza sanaa, nilivyotoka kwenye hizo changamoto nikaona bora nijaribu sanaa ya filamu”. -Rammy Galis
#KonceptTvUpdates