Producer wa Studio ya Tongwe Records Geof Master amefariki dunia siku ya leo. Taarifa kuhusu kifo chake ameshea rapa Roma Mkatoliki ambaye amewahi kufanya naye kazi.
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Msanii Roma ameandika… “Nimempoteza Kaka Yangu/Pacha Wangu/Rafiki Yangu/Producer Wangu (Tongwe Records). REST IN PEACE GEOF MASTER MANUVA. PUMZIKA MSUMULE”.
#RIPGEOFMASTER
#KonceptTvUpdates