RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, wakati wa Mashindano ya Kimataifa ya Quran Tukufu Afrika ya 24, yaliyofanyika katika Uwanja huo leo 24-3-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Kwanza wa Mashindani ya Kimataifa ya Quran Tukufu Afrika ya 24 kutoka Nchini Avory Coast Ibrahim Sow (kulia kwa Rais) mashindano hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam leo 24-3-2024.(Picha na Ikulu)
MSHINDI wa Kwanza wa Mashindano ya Kimataifa ya Quran Tukufu Afrika ya 24 kwa mwaka 2024 kutoka Nchini Avory Coast Ibrahim Sow, ameibuka mshindi wa mashindano hayo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Alhikma Foundation Tanzania yaliyofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam leo 24-3-2024.(Picha na Ikulu)