#KIAPO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Cc; @ikulumawasliano
#KonceptTvUpdates