Bibi Bomba 2012 Veronica Mpangala.
Pichani Juu na Chini ni baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria fainali za Bibi Bomba mjengoni Clouds Fm.
Mtangazaji wa Jahazi Radio CloudsArnord Kayanda na Nuru the light nao walikuwepo.
Mshindi wa pili naye akipata picha ya ukumbusho na fans na wadau.
Bibi Bomba alipata maswahiba wengi.
Chezea bibi Bomba wewe.
Bibi Bomba Veronica Mpangala katika picha ya pamoja na Mshehereshaji wa shindano hili Babu wa Kitaa (mwenye Kipaza sauti) na mashabiki wake.