Prezzo ameamua kwenda nchini Nigeria kuwaomba msamaha wanaijeria kwa
namna alivyouvunja moyo wa Goldie. Amesema hajaenda nchini humo kuuza
sura ama kutafuta cheap publicity bali kwenye mission maalum ya kuongea
na Goldie na kumuuliza ‘will you marry me’? Tatizo ni moja. Goldie
hapokei simu yake. Is it too late too…