Baada ya mshiriki huyu wa Big Brother star game kuja pande za 254
nchini kenya kimya kimya na kufanya collabo na msanii anayejulikana kwa
jina la Navio.Sasa habari ni kwamba Goldie anatarajia pia kutua hapa
bongo kuja kufanya collabo na Ambwene Yesaya a.k.a AY katika studio ya
MJ record.Tunatarajia muonekano mpya wa nyimbo hiyo mpya ambayo
itafanywa na Goldie pamoja na Ambwene Yesaya a.k.a AY.