Ni moja kati ya ma producer wa kali kwa hapa bongo kwa ufupi anafanya
vizuri sana katika industries ya muziki hapa bongo anafahamika kwa jina
la Lamar kutoka katika studio ya Fishcrab Audio Station.Habari nzuri ni kwamba Lamar
baada ya kuona kwamba yeye katika upande wa muziki anaweza ku produce
vizuri sasa pia ameamua kuingia katika mambo ya video production.Hapo
chini sasa Lamar ameonyesha wazi kwamba yeye sio tu muziki bali
pia hata katika mambo ya video production anaweza na hapo chini yeye
pamoja na kalabani walikuwa katika uandaji wa video mpya ya Lady J dee ambayo ni moja kati ya pini zake kali zinazofanya vizuri sana inajulikana kwa jina la Yeye.
CHANZO;;;http://djfetty.blogspot.com/ |