Naweza
kusema kwamba ukizungumzia Team nzima ya Maybac music double MMG basi
Rick Ross lazima awepo katika Team hiyo ambayo imehusisha vinjwa vitano
kama Stalley,Omarion,Meek milli,pamoja na Rozay Boss.Najua kwa sasa
unakuwa na hamu ya kuweza kumfahamu yule ambaye atawasha moto katika
stage ya serengeti fiesta mwaka huu.Nakumbuka mwaka jana mtu mzima
Ludacris alinukisha mbaya katika ile stage ya Leader club sasa habari
nzuri ni kwamba Rozay Boss au Rick Ross in da Fiesta serengeti
06/10/2012
source http://fiesta2012.co