Mkuu wa Kitengo cha Vodacom
Foundation, Yesaya Mwakifulefule akipeana mkono na wasanii, Peter na Paul
Okoye, maarufu kama P Square wakati walipowasili kwenda kutoa msaada katika
kituo cha watoto wenye ulemavu wa usonji “Autism” (utindio wa ubongo) cha
Msimbazi Mseto, jijini Dar es Salaam.

Msanii Peter Okoye akimuweka
vizuri katika bembea mmoja wa wanafunzi
wenye ulemavu wa usonji katika shule ya Msimbazi Mseto jijini Dar es Salaam. Wa
kwa nza kutoka kushoto ni mwalimu Mkuu wa shule hiyo Reuben Gadi na Mjumbe wa bodi ya shule hiyo Mtumwa Nindi,
na wa kwanza kulia ni mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Precious Hughes ambao ni wadhamini
waliofanikisha wasanii hao kutua nchini.

Wasanii wa kundi la P Square
(Peter na Paul Okoye) katikati wakimsikiliza Mtoto mwenye ulemavu wa Usonji, Erick wa shule ya msimbazi Mseto walipokwenda
kushiriki kutoa msaada kwa kituo cha watoto hao. Wa kwanza kushoto ni mwalimu
mkuu wa shule hiyo Reuben Gadi na kulia ni Mkuu
wa kitengo cha Vodacom Foundation, Yesaya Mwakifulefule pamoja na
wafanyakazi wengine wa kampuni hiyo.

wakikabidhi misaada mbalimbali kwa watoto wenye ulemavu wa usonji wa kituo cha Msimbazi Mseto cha jijini Dar es
Salaam. Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation, Yesaya
Mwakifulefule akishuhudia makabidhiano hayo, na katikati ni walimu wa shule
hiyo wakipokea kwa pamoja misaada hiyo.

Wasanii Peter na Paul Okoye
Maarufu kama P square wakiwa pamoja na Mkuu wa Kitengo cha huduma za jamii
Vodacom Foundation, Yessaya Mwakifulefule wakicheza pamoja na watoto wenye
ulemavu wa usonji wa shule ya msingi ya
Msimbazi mseto, wakati waliposhiriki kutoa msaada katika shule hicho kwa watoto
hao wenye mahitaji maalum.

Paul Okoye wa kwanza kulia,
akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu tamasha
watakalolifanya kesho Jumamosi. Novemba 23 katika viwanja vya Leaders Club,
jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Peter Okoye ambao kwa pamoja wanaunda
kundi la P Square, wakiwa na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,
Kelvin Twisa ambao ni wadhamini wa wasanii hao pamoja na Lady Jay Dee mmoja wa
wasanii watakaowasindikiza jukwaani wasanii hao.

—–
·
Waviomba
kuwapa ushirikiano wasanii wa muziki nchini

kufanya
onesho kwa masaa mawili mfululizo
kufanya
onesho kwa masaa mawili mfululizo
·
Washiriki
katika shughuli za kijamii
Washiriki
katika shughuli za kijamii
Dar
es Salaam, 22 Nov 2013
Baada
ya kuwasili nchini usiku wa jana wanamuziki mapacha Peter na Paul Okoye maarufu
kama “P – Square” wametoa wito kwa
vyombo vya habari nchini kuwasaidia wasanii wandani na kuwa chachu ya
mafanikio ya muziki kama vilivyo vyombo vya nchi nyingine, huku wakiahidi
kufanya makubwa katika Shoo yao ya siku ya leo kwa mashabiki wao watakaojitokeza
katika Viwanja vya Leaders Club.

Wakizungumza katika mkutano na waandishi wa habari
uliofanyika katika hotel ya Hyatt jijini Dar wasanii hao wamesema
wamefurahishwa na mapokezi waliyoyapata kutoka kwa jamii ya Watanzania na
waandaaji wa Tamasha hilo na kuahidi burudani ya kipekee kwa Watanzania.

Peter Okoye ambaye ni mdogo wake na Paul alisema, vyombo
vya habari vina mchango mkubwa katika kuwajenga wasanii huku akitoa wito kwa
vyombo hivyo kuwa kichocheo cha kuwajenga wasanii na sio kuwabomoa.

“Vyombo vya nchini kwetu vimetufikisha hapa tulipo
wamejitahidi kutujenga na kutusaidia kusikika Afrika nzima., Tutaona fahari
kama vyombo vya hapa nchini pia vitajenga uwezo wa kuwasaidia wasanii wa ndani
nao waweze kufika au hata kuzidi hapa tulipo, Tutafurahi siku tukiwaona wasanii
kama kina Jay dee na Ben Pol wakija Nigeria kama sisi tulivyokuja nchini kwao,
alisema Paul.

Paul Okoye ambaye ni kaka kwa Peter amesema “Tumefurahishwa sana na mapokezi
tuliyoyapata tangu jana usiku hadi kufikia sasa, tumejisikia faraja kuwa katika
nchi hii ya Tanzania watu wake ni wakarimu sana sifa hizi tumezisikia kwa watu
mbalimbali na tumeshuhudia wenyewe tunawaahidi Mashabiki wetu kufanya Shoo ya
uhakika., alisema Paul Okoye.

Kwa upande wa wadhamini wakuu wa Tamasha hilo Mkuu
wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa,alisema wamejisikia
faraja kwa pamoja kufanikiwa kuwaleta wasanii hao ili watoe burudani kwa
Watanzania na kuweza kushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii kama vile
kutoa msada wa vyakula katika shule ya Msingi Msimbazi Mseto kwa kupitia mfuko
wa kusaidia jamii wa Vodacom” Vodacom Foundation”.

“Kwa upande
wetu sisi kama waandaaji kila kitu kimekamilika kuanzia, masuala ya usalama na
jukwaa vyote vimekamilika, Pamoja na mambo mengine tunatoa wito kwa Watanzania kuwai
kufika maana onyesho litaanza saa 1 na kuwa sihii kuwa wastaarabu wakati wote
wa Shoo hiyo na kujiepusha na vitendo vyovyote ambavyo vinaweza kusababisha uvunjifu
wa amani.

Wasanii kutoka Bongo watakao toa burudani katika
Tamasha hilo ni pamoja na wakongwe, Prof. Jay, Lady Jaydee, Jo Makini”mwamba wa
kaskazini”pamoja na Ben Pol.

Wakati huo huo wasanii hao na kitengo cha huduma
za jamii cha Vodacom Foundation wameshiriki katika kutoa msaada wa vitu
mbalimbali kwa watoto wenye ulemavu wa
akili cha Msimbazi Mseto kilichopo jijini Dar es Salaam. Huku wakitoa wito kwa
jamii ya Watanzania kuendelea kuwasaidia watu wote wasio na uwezo ili kujenga
jamii yenye maisha sawa kwa wote.

Mwisho
. . . .