KIKOSI cha Uruguay kimelala kwa bao 3-1
dhidi ya Costa Rica katika mechi ya kundi D kwenye Fainali za Kombe la
Dunia 2014 zinazoendelea nchini Brazil. Katika mechi hiyo, mshambuliaji
mahiri wa Uruguay na Liverpool Luis Suarez alikuwa benchi.

Wafungaji wa Costa Rica waliopeleka maumivu
Uruguay ni Joel Campbell, Oscar Duarte na Marcos Urena. Uruguay
walipata bao lao kwa mkwaju wa penalti kupitia kwa Edinson Cavani.