Atakubali?:
Michael Richard Wambura rufani yake imekataliwa na kamati ya Rufani ya
uchaguzi ya TFF baada ya kubainika alipiga kampeni kabla ya muda ikiwa
ni mara ya pili anafanya kosa hilo. Mara ya kwanza yeye na Evans Aveva
walipewa onyo kali la maandishi baada ya kumwaga sera siku ya kuchukua
na kurudisha fomu.

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam
0712461976
KAMATI ya Rufani ya Uchaguzi ya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeikataa rufani ya Michael
Wambura kupinga kuenguliwa kugombea urais katika uchaguzi wa klabu ya
Simba unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu.

Wambura aliwasilisha rufani yake
mbele ya Kamati hiyo iliyokutana jana (Juni 19 mwaka huu) jijini Dar es
Salaam chini ya Kaimu Mwenyekiti Wakili Mwita Waissaka kupinga uamuzi
wa kumwengua katika kinyang’anyiro hicho uliofanywa na Kamati ya
Uchaguzi ya Simba kwa kufanya kampeni kabla ya muda uliopangwa.

Baada ya kupitia vielelezo,
kanuni na sheria, Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya TFF imeridhika kuwa
mrufani (Michael Wambura) alifanya kampeni kabla ya muda kinyume na
Ibara ya 6(1)(a) na (g), Ibara ya 6(1)(l) pamoja na Ibara ya 14(3) ya
Kanuni za Uchaguzi za TFF toleo la 2013.

Kwa mujibu wa ibara hizo, Kamati
ya Uchaguzi ya Simba inayo mamlaka ya kumwengua (disqualify) mgombea
anayefanya kampeni ama kukiuka maagizo halali ya Kamati ya Uchaguzi.

Uamuzi wa Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya TFF umezingatia Katiba ya TFF pamoja na kanuni zake, na pia Katiba ya Simba.
Kwa namna moja ama nyingine suala hili limegusa hisia za baadhi ya wanachama wa Simba hususani wenye mapenzi na Michael Wambura.
Rais
wa TFF, Jamal Emil Malinzi (kushoto) alisema jana suala la uchaguzi wa
Simba litapatiwa ufumbuzi na akapongeza juhudi za Aden Rage kuwasiliana
kwa ukaribu na shirikisho, kauli iliyoonekana kuwawashia Simba taa ya
kijani.

Baadhi ya wanachama wa Simba
walikuwa wanampigania Wambura ili agombee urais na hii ilidhihirika
wakati ule alipoenguliwa na kamati ya uchaguzi ya Simba sc. Mengi
yalizungumzwa, lakini mgombea huyu alikata rufani na kushinda na
hatimaye kurudishwa katika mchakato wa uchaguzi.