Watundu wamefanya yao baada ya kuchambua baadhi ya vipande vya hotuba za Raisi wa Marekani, Barack Obama na kuvifanya viendane na wimbo wa “Fancy” wa mwanadada Iggy Azalea.
Na huwezi amini, kwani ukusikiliza na kutazama kwa makini video ya kionjo hicho , utadhani kweli Obama amerap katika beat hiyo.
Hiki hapa kionjo hicho:
Usikose burudani nyingi kama hizi, tembelea blog yetu mara nyingi kadri uwezavyo kwa burudani zaidi.