2Face Idibia ni nyota mkongwe wa Nigeria ambaye amechangia kwa kiwango kikubwa kufika kwa muziki wa Nigeria sehemu ulipo. Katika kupitiapitia nyimbo za mkali huyo, nimekutana na hii aliyomshirikisha mwanadada kutoka nchini Marekani ajulikanaye kwa jina la Bridget Kelly. Wimbo unajulikana kwa jina la “Let Somebody Love You” na ngoma hii ilifanywa mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu wa 2014 ingawa kwa sasa ndio inapata mashiko kwenye vyombo mbalimbali vya Burudani.
Itazame video hiyo hapa, na bila choyo share na mmpenda burudani mwenzako.