Baada ya mwanadada Jokate kupitia kampuni yake ya KIDOTi kuingia mkataba mnono wa bidhaa zake na kampuni ya wachina, msanii Dimaond Platnumz amefunguka haya yafuatayo…
“..Kama muekezaji wa nje ameweza kuona Potential na kumuamini kidoti na kuamua kuwekeza kwenye bidhaa zake…kwanini sisi tusimuamini???.. nafikiri huu ni wakati muafaka wa kuanza kuthamini na kusupport brand zetu za nyumbani.. Hongera sana Kate… sema sasa ututolee bidhaa nzuri kweli, sio tena ukale hela za mchina wa watu halafu ukatutolee maruerue! utegemee support yetu ..” – Diamond Platnumz