Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiongea kwa simu nma msanii Idris Sultani, mshindi wa
shindano la mwaka huu la Televisheni la Big Brother Africa wakati
alipokuwa na msanii Naseeb Abdul “Diamond” aliyemuonesha tuzo tano za
muziki za kimataifa alizoshinda mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam
Jumanne Desemba 23, 2014.

Rais Kikwete
akimkaribisha msanii Naseeb Abdul “Diamond” na kumpongeza kwa kushinda
tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam

akipata maelezo toka kwa msanii Naseeb Abdul “Diamond” wakati
akimuonesha moja ya tuzo kati ya tuzo tano za muziki za kimataifa
alizoshinda mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Desemba 23,
2014. kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Katika Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko.

akipata maelezo toka kwa msanii Naseeb Abdul “Diamond” juu ya ushindi
wake wa tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es
salaam Jumanne Desemba 23, 2014.

Rais
Kikwete akiongea na msanii Naseeb Abdul “Diamond” alipomkaribisha Ikulu
kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu,
Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Desemba 23, 2014.

akipokea CD mpya ya msanii Naseeb Abdul “Diamond” baada ya kuoneshwa
tuzo tano za muziki za kimataifa alizoshinda mwaka huu, Ikulu jijini Dar
es salaam Jumanne Desemba 23, 2014.

akiwa na msanii Naseeb Abdul “Diamond” baada ya kumkaribisha na
kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu,
Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Desemba 23, 2014. Kulia ni
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Katika Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko, na kushoto ni katibu wa
Bodi ya filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo.

akiwa na msanii Naseeb Abdul “Diamond” alipomkaribisha ili kumpongeza
kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini
Dar es salaam Jumanne Desemba 23, 2014.

akimsindikiza msanii Naseeb Abdul “Diamond” baada ya kumkaribisha na