Kiungo mshambuliaji wa Chelsea, mfaransa Cesc Fabregas alipata likizo fupi ambayo aliitumia ipasavyo kwa kujiachia na mpenzi wake.
Kamera za waandishi zimenasa picha za kiungo huyo anayeongoza kwa pasi na kukimbia kilomita nyingi zaidi uwanjani katika michezo ya msimu huu ya ligi kuu ya Uingereza. Fabregas na mpenzi wake Daniella walinaswa wakilifaidi jua huko Saint Barts.
Hata hivyo Fabregas anatarajiwa kuwepo katika mchezo wa ligi wa wikiend hii dhidi ya Swansea.