Hivi
ndio mwonekano wa Land Rover aliyokua akiitumia Bob Marley ilivyokua
ikionekana kwenye makumbusho ya masanii huyo nchini Jamaica.
Mwonekano
wa ndaniLand Rover hiyo inavyoonekana kwa sasa baada ya kufamyiwa
matengenezo upya na kampuni ya Land Rover ya Jamaica kwa ushirikiano na
familia ya Bob Marley ambaye kama angekua hai angekua amefikisha miaka
70 Februari 7 mwaka huu.
Mwanekano mpya wa gari hiyo
Pamoja na mwonekano mpya pia gari hiyo linaendesha kama jipya.
Mwonekano wa Ndani