Rapa Kanye West ameongeza tattoo mpya kwenye mikono yake miwili, Tattoo hizo amechora Ijumaa Feb. 27 alipo kuwa mjini London na mke wake Kim Kardashian. Kanye amechorwa siku za kuzaliwa za marehemu mama yake Donda na mtoto wake North West.
Tattoo zimechorwa kuwa lugha ya kirumi , tunaona tarehe June 15, 2013
birthday ya North na July 12, 1949 birthday ya marehemu mama yake Donda
aliyefariki mwka 2007