Fid Q baada ya kupotea kwa muda katika uringo wa utengenezaji wa video katika kazi zake kwa maana ya mziki, tangu tulipomuona katika track aliyoitambulisha kama “sihitaji marafiki”, sasa anakuja na kichupa cha hataree akibadili maadhi na muonekano wake.
ANGALIA HAPA CHINI VIDEO HIYO MPYA YA FID Q – Bongo HipHop – Official Video