na
hii ndo kauli ya shabiki huyo kupitia mtandao wa instagram anayetumia
kina la @mrekebishatabia Naliongelea hili kwa mara ya mwisho…pls
naomba msinifanye nisiwe huru kukoment popote au kuandika eti kwasababu
unamchukia Wema Sepetu. Kuna watu nawaona kila nikiandika kitu au
kuandika kwa wengine kama wametumwa lazima waandike eti uko team wema na
mahubiri kibao!! Chuki zako kwa wengine ndo tushindwe kusapoti wengine?
tafadhali!! Narudia kusema, nampenda Wema sio sababu ya teams na nini
hapana ila kwasababu ni Wema kama

mtu
mwingine yeyote, ni mwanadamu kama wewe, ana feelings kama nyie,
maamuzi na mitazamo yake ni kama mwanadamu yeyote na kinachofanya
nimpende zaidi ni kwasababu kuna groups za watu wanadhani watafanikiwa
kumkosesha amani! Anatukanwa na wanayoyamtukana wengi wanayafanya
hayo….kila mmoja wetu ana madhaifu yake huwezi kuwa busy unamtukana
mtu yale yale ambayo unayafanya wewe tena na zaidi au kwa vile
hatukuoni? Ila kwasababu ni Wema anabebeshwa mizigo na laana ya mambo
unayofanya wewe!!! Seriously? Hapo kwanini asipendwe Wema anawakilisha
wasichana wengi nchini. Mimi sikuzote nitasimama na yule ambaye watu
wanamdharau na kumtukana bila sababu zozote za msingi. Lakini sio kila
mada naandika its about them, pengine ni mifano ambayo iko wazi…sina
upendeleo na kama naandika kitu kuna sababu.

CHANZO :
makubwa haya blog