‘Sophia’
wa Ben Paul yuko live kideoni na unaweza kumuona kwa kuingia YouTube au
hata kutoka katika luninga yako. Audio ya wimbo huu imetikisa vilivyo
na hii ilipelekea wapenda burudani kama mimi kuendelea kumeza mate kwa
kuisubiri video hii na sasa hayawi hayawi yamekua.

Mandhari
ya video ni yale yale uliyoyatarajia na zaidi video vixen najua
hukumtarajia lakini Ben Paul na timu yake wameonyesha utundu sana na
kuzalisha kitu ambacho kinayaacha macho yakia ang’avu baada ya kutazama.

Nikukaribishe mdau ukaweze kutazama video hata kama sio kwa mara ya kwanza lakini tukaitazame tena.