New York, Marekani
MAHABA! STAA wa muziki wa R&B duniani , Ma riah Carey ameamua kuhamia moja kwa moja (mazima) kwa mchumba wake mpya ambaye ni bilionea kutoka nchini Australia, James Packer.
Chanzo kinapenyeza ‘ubuyu’kuwa, Mariah ambaye ni mama wa watoto mapacha aliyezaa na Nick Canno na alifikia uamuzi wa kuhamia kwa bilionea James pande za Beverly muda mfupi baada ya kumalizika kwa sherehe za kuwakumb uka wafu (Halloween