RelatedPosts
Mtoto wa Jay Z na Beyonce, Blue Ivy ameanza kufuata nyayo za wazazi wake, Blue ivy na mama yake wameshirikishwa kwenye album mpya ya kundi la Cold Play ‘A Head Full of Dreams’
Kiongozi wa kundi hilo, Chris Martin amesema Beyonce ameshirikishwa kwenye wimbo unaoitwa ‘Hymn for the Weekend,’ wakati binti yake, Blue ivy ni moja kati ya wanakwaya watakotokea kwenye album hiyo,
“The ‘choir’ started with my two kids coming in after school and recording,” Chris Martin ameelezea “We recorded Blue Ivy Carter in New York when her mom Beyoncé was in the studio. It comes from learning about Greek tragedy, where the chorus chimes in at times. To me, when we use that sound, it’s to affirm what I’m saying. ‘We agree with you, Chris. Keep singing.” Chris alisema alipofanya mahojiano na Wall street Journal
Chris Martin ni rafiki wa karibu na Familia ya The Carter’s kwahiyo inaweza isiwe kitu cha kushangaza kuona urafiki wao unaingia hadi kwenye kushirikiana kwenye muziki.