Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa anatarajiwa kuongoza kliniki ya ardhi kwenye eneo la Bunju wilayani Kinondoni, Dar es Salaam.
Wizara hiyo imesema itafanya kliniki hiyo ambayo kwa kiasi kikubwa utekelezwaji wake umeleta tija kwa kutatua migogoro mingi ya ardhi nchini.
“Kuanzia Februari 19, 2024 hadi Februari 28, 2024 tutafanya kliniki Bunju A na tutaweka kambi kwenye shule ya msingi Bunju A ili kuhakikisha changamoto za ardhi na makazi zinatatuliwa” Amesema
#KonceptTvUpdates