BAADA YA MUANDAMO WA MWEZI KUONEKANA NA TAARIFA HIZI KUTIBITISHWA NA Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum KWA HIYO KESHO WAISLAM WOTE KESHO WATAUNGANA KUSHEREKEA SHEREHE YA EID AL FITRI MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA INAPENDA KUWATAKIA WAISLAMU WOTE SHEREHE SALAMA NA MAPUMZIKO MEMA |