Bondia Sande Kizito wa Uganda akipima Uzito leo kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa IBF Africa litakalofanyika katika ukumbi wa Diamond Jublee kushoto ni Mpinzani wake Ramadhani Shauri Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Rais wa IBF Africa Onesmo Ngowi katikati akiwa ameshikilia mkanda wa ubingwa wa IBF Africa utakaogombaniwa na Ramadhani Shauri wa pili kushoto na Sande Kizito wa Uganda kushoto ni Katibu wa TPBC Nemes Kavishe na Rais wa TPBO Yasin Abdallah
Rais wa IBF Africa Onesmo Ngowi katikati akiwa ameshikilia mkanda wa ubingwa wa IBF Africa utakaogombaniwa na Ramadhani Shauri wa pili kushoto na wadau wengine wa ngumi.