Michael Pius(kushoto) na Hassan Dilunga(kulia).
Na Sosthenes Nyoni, Mwananchi
- Chipukizi hao ni Ismail Gambo, Faridi Musa, Joseph Kimwaga (Azam), Elias Maguli (Ruvu Shooting) na William Lucian (Simba
Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji 16
walioitwa katika kikosi cha Taifa Stars kilichotajwa awali na wengine 16
kutoka Future Young Taifa Stars.

Dar es Salaam. Kocha Mkuu wa timu
ya Taifa (Taifa Stars), Kim Poulsen amewajumuisha kwa mara ya kwanza
chipukizi watano katika kikosi cha wachezaji 32 kinachojifua kwa ajili
ya pambano dhidi timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars).

Taifa Stars na Harambee Stars zitacheza katika
pambano la kimataifa la kirafiki litakalopigwa Novemba 19 kwenye Uwanja
wa Taifa, Dar es Salaam.

Chipukizi hao ni Ismail Gambo, Faridi Musa, Joseph Kimwaga (Azam), Elias Maguli (Ruvu Shooting) na William Lucian (Simba),
Maguli alionyesha kiwango cha kuvutia katika
mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu uliomalizika hivi karibuni na kupachika
mabao tisa na kukamata nafasi ya pili kwa ufungaji nyuma ya Amisi Tambwe
wa Simba aliyezamisha mabao 10.

Pia, Kim amewaondoa katika kikosi hicho
mshambuliaji wa Azam, John Bocco na beki wa pembeni wa Yanga, David
Luhende ambao ni majeruhi.

Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji 16 walioitwa
katika kikosi cha Taifa Stars kilichotajwa awali na wengine 16 kutoka
Future Young Taifa Stars.

Kabla ya kuteua wachezaji 16 wa kuunda Taifa Stars kambi ya Future Taifa Stars iliyoanza Novemba 9 ilikuwa na wachezaji 30.
Kikosi kamili cha Stars kilichotangzwa jana na
Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania, Boniface Wambura ni
makipa Aishi Manula (Azam), Ally Mustafa (Yanga), Deogratias Munishi
(Yanga) na Ivo Mapunda (Gor Mahia, Kenya).

Mabeki ni Aggrey Morris (Azam), Ismail Gambo
(Azam), Kelvin Yondani (Yanga), Michael Pius (Ruvu Shooting), Nadir
Haroub (Yanga) na Said Moradi (Azam).

Viungo wakabaji ni Erasto Nyoni (Azam), Himid Mao
(Azam), Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa) na Vincent Barnabas
anayechezea Mtibwa Sugar ya Morogoro.

Viungo wachezeshaji ni Amri Kiemba (Simba),
Athuman Idd (Yanga), Frank Domayo (Yanga), Haruna Chanongo (Simba),
Hassan Dilunga (Ruvu Shooting), Jonas Mkude (Simba), Ramadhan Singano
(Simba), Salum Abubakar (Azam) na William Lucian (Simba).

chanzo;MWANANCHI