Chris Brown ni moja ya wasanii ambao mahusiano yao ya kimapenzi yamekaa sana kwenye vyombo vya habari tangu alipoanza mahusiano na mwanadada Rihana. Sasa hivi Chris Brown amechetuka katika penzi la Karueche, mwanadada ambaye anamkubali Brown hata kabla hajakutana na Rihana. Siku za karibuni mkali wa New Flames alitumia ukurasa wa Instagram kuonesha hisia zake kwa Karueche baada ya kuandika maneno yafuatayo ““need to have this baby and stop playing.”–nahitaji kuwa na huyu mpenzi na kuacha kuchepuka.
Wimbo wake mpya ambao unakwenda kwa jina la X inasemekana amemuimbia mrembo huyo. Usikilize hapa