Mwaka 2015 umekwisha anza na wadau wameshaanza kupiga ishu mbalimbali za mkwanja. Kwa upande wa supestar wa Bongo Movie, mwanadada Kajala Masnja ambaye ameanza mwaka kwa jina lake kuwa kama nembo katika kinywaji cha Coca Cola.
Mchana wa Jumamosi mwakilishi kutoka Coca Cola alimtembelea Kajala nyumbani kwake na kumzawadia kinywaji hicho chenye jina lake.
Kajala ni mmoja kati ya mastaa ambao jina lake limekipamba kinywaji hicho, bado tunasikilizia kuweza kufahamu majina ya mstaa wengine ambao watabahatika.
Kaa nasi muda wote kwa habari makini zaidi.