Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Viongozi aliowateua kusaidia utendaji wa majukumu ya Kiserikali katika nyanja mabalimbali nchini.
Viongozi mbalimbali (Wakuu wa Mikoa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano na Mazingira), Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART) wakila Kiapo cha Maadili kwa viongozi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Christina Solomon Mndeme kuwa Naibu Katibu Mkuu (Muungano na Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Anamringi Macha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Paulo Matiko Chacha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Daniel Godfrey Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.