Shetta ametoa ngoma mpya inaitwa ‘Shikorobo’ aliyomshirikisha star wa Nigeria Kcee, akiongea na 255 amesema hiyo ni sehemu ya kutimiza ahadi yake kufanya collabo kubwa ya kimataifa.
Shetta amesema Diamond Platnumz amehusika kumkutanisha na staa huyo wa Naija huku akipata nafasi kuwa na connection kubwa na wasanii wa nje. Shetta amesisitiza kwamba japo ameimba, yeye bado ni RAPPER