Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Victoria Kimani amekwea pipa hadi nchini Nigeria na kula upepo wa bahari na mkali Davido katika beach moja huko jijini Lagos.
Davido ambaye alionekana kuongozana na jopo zima la HKN Gang wakiwemo JoshBeatz, Sina Rambo, B_Red, Danagog, Shizzi walionekana wakifurahia maisha kwa kubarizi beach huku mwimbaji wa Protoko akijumuika nao.
Picha zaidi nimezimimina hapa uweze kuburudisha macho yako mdau wangu wa ukweli: